Scientists Invents Death Machine Which Facilitates ‘Sweet Demise’

Sarcophagus, also referred to as Sarco, is a machine which has been innovated by Euthanasia’s activist, Philip Nitschke from Australia and Alexander Bannink from Holland.

The special machine is made with the resemblance of a separable coffin, put on a stand with a Nitrogen container.

Sarco is made specially to kill an individual without pain, such that anyone who wills to die will enter inside and press a switch and a capsule which will release Nitrogen, and ultimately she/he will feel a little dizziness, but will  loose consciousness very fast and die.

Nitschke, who has been nicknamed “Dr Death” for the innovation work of the machine, says that they published an explanation of the device in a show, togeter with a set of glasses of

kwa kazi yake hiyo ya kubuni mashine hiyo, anasema waliweka kielelezo cha kifaa kwenye onesho, pamoja na seti ya miwani ya uhalisia pepe, ili kuwapa wageni hali halisi ya maisha ya jinsi ingekuwaje watakapoketi kwenye mashine hiyo, kabla ya kubonyeza kitufe.

Alipoulizwa kuhusu utata unaozunguka euthanasia na vikwazo vya kisheria, Nitschke alisema: “Katika nchi nyingi kujiua si kinyume cha sheria, ni kusaidia tu mtu kujiua. Hii ni hali ambapo mtu mmoja anachagua kubonyeza kitufe na kufa bila maumivu badala ya ya kugongwa na treni au kujirusha ghorofani.”

“Ninaamini ni haki ya msingi ya binadamu (kuchagua wakati wa kufa). Sio tu fursa ya matibabu kwa wagonjwa sana. Ikiwa una zawadi ya thamani ya maisha, unapaswa kuwa na uwezo wa kutoa zawadi hiyo wakati wa kuchagua kwako,” alisema Nitschke

Inaarifiwa kuwa, ndani ya mashine hiyo, mtu akishaingia na kujilaza mfumo wa kielektroniki hutambua na kisha hutoa sauti kwa kutumia spika zilizofungwa humo kumuuliza muhusika yeye ni nani, wapi alipo na kama anafahamu kitakachotokea, kisha baada ya majibu yote kwa usahihi mtu huyo hutakiwa kubonyeza kitufe kilichopo ndani ili kutimiza azma yake.

Kisha muziki mororo huanza kuimba na kumbembeleza muhusika ambaye husikia raha na kuchanganyikiwa kwa wakati mmoja kabla ya kupoteza uhai huku akisikia raha.

Hata hivyo, taarifa za awali zinaonesha kuwa mashine hiyo kwasasa inapatikana Nchini Uingereza na Ufaransa pekee kwani Mataifa hayo sheria zinaruhusu mtu kujiuwa na gharama za kulipia kifo ni Dola 1,000 kwa mtu mmoja na hulipwa kabla.

Fccc

Tell us what is happening near you. Reach us through +254724114691 or info@pronetv.co.ke

Leave a Reply